Posted on: September 2nd, 2023
Baraza la Madiwani, Menejimenti na Watumishi wa Manispaa tunatoa shukrani zetu kwa kipindi chote tulichoshirikiana katika majukumu mbalimbali.
Tunakutakia kila kheri katika majukumu yako mapya....
Posted on: September 1st, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga inakupongeza Mhe. Mohamed Mchengerwa kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI tunakukaribisha na kuahidi kukupa ushirikiano wakati wowote katika ...
Posted on: August 29th, 2023
Watumishi wa Halmshauri ya Manispaa ya Shinyanga wapongezwa kwa kuandaa vizuri taarifa za kufunga hesabu za mwisho kwa mwaka wa fedha 2022/2023 .
Pongezi hizo zimetolewa leo tarehe 29 Agosti, 2023 ...