Posted on: February 3rd, 2025
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga inayo jumuisha mikoa miwili mkoa wa Shinyanga na Simiyu leo imezindua rasmi kuanza Kusikiliza Mashauri mbalimbali yanayohusiana na Sheria kwa Mwaka 2025.
...
Posted on: January 31st, 2025
Katibu tawala wa Wilaya ya Shinyanga Ndg. Said Kitinga Leo tarehe 31, Januari 2025 ameongoza mazoezi ya viungo vya mwili kwa watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ikiwa ni utekelezaji wa a...
Posted on: January 30th, 2025
Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga katika zoezi la uandikishaji wa wanafunzi darasa la kwaza imeweza kuandikisha jumla ya wanafunzi 5,233 sawa na asilimia 99 huku makadilio ikiwa ni kuandikisha wana...