Posted on: October 31st, 2024
Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mhe. Zamda S. Mwebea amewataka madiwani kuwasaidia wananchi, na kuwaelekeza namna ya kuomba mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na serikali kwa lengo...
Posted on: October 24th, 2024
Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imekabidhi Kiwanda cha matofali Kwa bodi ya wakurugenzi wa Kampuni itakayokiendesha Kiwanda hicho Leo tarehe 24 Oktoba 2024, Hati ya makabidhiano imepokelewa na mk...
Posted on: October 25th, 2024
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mwl. Alexius Kagunze ameitaka kamati ya Lishe kushirikiana na maafisa kilimo kata pamoja na maafisa elimu sekondari na msingi kuhamasisha shule zote ...