Posted on: October 24th, 2024
Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imekabidhi Kiwanda cha matofali Kwa bodi ya wakurugenzi wa Kampuni itakayokiendesha Kiwanda hicho Leo tarehe 24 Oktoba 2024, Hati ya makabidhiano imepokelewa na mk...
Posted on: October 25th, 2024
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mwl. Alexius Kagunze ameitaka kamati ya Lishe kushirikiana na maafisa kilimo kata pamoja na maafisa elimu sekondari na msingi kuhamasisha shule zote ...
Posted on: October 22nd, 2024
Vyama vya Siasa wilayani Shinyanga Vimeaswa Kuzingatia sheria na kanuni za uchaguzi ili kuepusha uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27,2024.
...