Posted on: August 17th, 2017
Uhamasishaji wa Mfuko wa bima ya Jamii wa CHF (Community Health Fund), umezinduliwa kahama na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,zoezi hili linaendelea wilaya zote za shinyanga....
Posted on: July 26th, 2017
Waganga Wakuu wa Mikoa yote wameagizwa kuhakikisha kila Hopitali inakuwa na dawa maalumu kwa ajili ya wazee pamoja na kuwabaini wazee wote katika mikoa yao ili wapate huduma za afya bila malipo. Naibu...