- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
1. Mradi wa kusajili watoto walio chini ya miaka 5 kwa lengo la kuwapatia vyeti vya kuzaliwa bila malipo yoyote. Mradi huu unaratibiwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA). Kupata maelezo zaidi ya mradi huu pakua hapa. Ili kupata takwimu za usajili wa watoto chini ya miaka 5 bonyeza hapa (Unatakiwa kuwa na jina na nywila kutoka kwa msimamizi wa mfumo wa takwimu)
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga