Posted on: March 21st, 2025
Halmashauri ya manispaa ya shinyanga Katika kuadhimisha siku ya misitu sambamba na Siku ya upandaji miti kitaifa imepanda na kugawa jumla ya miche 1200 ya matunda na kimvuri katika soko la wazi ...
Posted on: March 6th, 2025
Mkuu wa mkoa wa shinyanga Mhe. Anamringi Macha amezitaka taasisi za Serikali, binafsi na wananchi wote wa mkoa wa Shinyanga kuendelea kutetea haki za wanawake ili kuweka haki, usawa na ushirikishwaji ...
Posted on: March 5th, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa ya shinyanga Mwl. Alexius Kagunze ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari iliyopo kata ya kizumbi, hii ikiwa ni baada ya kumvunjia mkataba wa aw...