Posted on: December 15th, 2020
Madiwani wa Halmashauri ya manispaa ya Shinyanga wameapishwa rasmi kuwa madiwani halali mara baada ya kushinda kwenye uchaguzi mkuu ambao ulifanyika Oktoba 28 mwaka huu wa 2020.
...
Posted on: December 1st, 2020
Dhahabu inayoonekana katika picha iliuzwa kwa kiasi cha Tsh milioni 190 siku ya maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga, yaliyofanyika katika viwanja vya Butulwa kat...