- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za wanyonge Tanzania (MKURABITA) umetajwa kuchochea ustawi wa Wananchi na kuendana na azma ya serikali ya awamu ya sita kwa kuwakwamua Wananchi.
Akipokea msaada wa vifaa vya Stationery ambavyo ni Kompyuta moja (Desktop), Printer moja, Scanner moja na UPS moja, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ndg. Jomaary Mrisho Satura aliwashukuru viongozi wa MKURABITA kwa namna wanavyojitoa kwa ajili ya jamii.
Aidha vifaa hivyo vimetolewa kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya kituo cha uwekezaji kilichopo nyuma ya jengo la CCM Wilaya.
Awali MKURABITA ulitoa Tsh. Milioni ishirini (20,000,000/=) kwa ajili ya kuongeza nguvu katika ujenzi wa ofisi za kituo cha uwekezaji.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga