- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Michoro Ya Mipango Miji ya maeneo ya Mwasele(kata ya Kambarage),Negezi na Ishoshandili (kata ya Mwawaza) na Mwalugoye (Kata ya Chibe) imewasilishwa leo tarehe 23/05/2019 na Afisa Ardhi wa Manispaa Bw. Mitinje katika kikao maalum cha Kamati ya Miundombinu
Michoro ya Mipangomiji iliyoandaliwa ni kama ifuatavyo:
S/N
|
JINA LA ENEO |
NAMBA YA MCHORO
|
IDADI YA VIWANJA |
1.
|
Nhegezi na Ishoshandili |
16/SHY/188/052019 |
144 |
2.
|
Mwasele |
16/SHY/189/052019 |
127 |
3.
|
Mwalugoye |
16/SHY/94/032013A |
93 |
Aidha Maeneo yanayotwaliwa kwa ajili ya upimaji wa viwanja 300 katika kata ya Mwawaza,Kambarage na Chibe Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga yameshafanyiwa mchanganuo wa malipo kama ifuatavyo:
MAHALI ARDHI INAPOTWALIWA
|
UKUBWA WA ARDHI(ACRES)
|
FIDIA STAHILI (Tsh.)
|
IDADI YA WAFIDIWA
|
Nhegezi na Ishoshandili |
35.155 |
72,662,616 |
29 |
Mwalugoye |
21.364 |
39,540,420 |
16 |
Mwasele |
32.802 |
62,091,522 |
11 |
JUMLA KUU |
89.321 |
174,294,558 |
56 |
Pia Kamati ya Miundombinu imefanya ziara fupi katika maeneo ya viwanja vilivyotajwa hapo juu na kuangalia ukubwa wa eneo lote.
Michoro Ya Mipango Miji pamoja na picha za ziara fupi ya Kamati ya Miundombinu zimeonyeshwa hapo chini:
MCHORO WA MIPANGOMIJI NEGEZI NA ISHOSHANDILI
MCHORO WA MIPANGOMIJI MWASELE
MCHORO WA MIPANGOMIJI MWALUGOYE
Matukio katika Picha:
Wajumbe wa Kamati ya Miundombinu wakiwa katika ziara fupi kuzungukia maeneo ya viwanja 300
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga