- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
#HABARI PICHA Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Mwl. Alexius Kagunze katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya uboreshaji wa miundombinu ya miji Tanzania (TACTIC) iliyofanyika jiji la dodoma ukumbi wa jiji mtumba ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe. Mohamed Mchengerwa iliyojumuisha Wakurugenzi, Wabunge, wanasheria na waratibu wa mradi wa halmashauri ambazo wanahusika na mradi hiyo.
Ambapo katika Manispaa ya shinyanga imesaini mkataba wa ujenzi wa stendi ya mabasi makubwa katunda katika kata ya kizumbi pamoja na ujenzi wa barabara ya rami yenye kilomita 5.8 kutoka mwawaza na swyinetone mpaka ndala inategemea kuanza tarehe 15 Julai, 2025 na kukamilika 14 Oktoba, 2026.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga