- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Mwl. Alexius R. Kagunze, amewatakia kila la kheri wanafunzi wote wanaotarajia kufanya Mtihani wa Taifa wa Kuhitimu Elimu ya Msingi (PSLE) unaotarajiwa kufanyika Septemba 10 na 11, 2025 kote nchini.
Katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, jumla ya wanafunzi 4,963 watafanya mtihani huo, wakiwemo wavulana 2,292 na wasichana 2,671 kutoka shule 66 za msingi, ambapo 50 ni shule za serikali na 16 ni shule binafsi.
Aidha, Mwl. Kagunze anawataka watahiniwa kufanya mtihani kwa utulivu, ujasiri na nidhamu ili kufanikisha ndoto zao za kimasomo, huku akiwasihi wazazi na jamii kuendelea kuwaunga mkono wanafunzi katika kipindi hiki muhimu.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga