- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Annamringi Macha aongoza zoezi la ugawaji vyandarua kwa wakazi wa mkoa wa Shinyanga tarehe 8 Februari, 2025 zoezi lililofanyika katika Zahanati ya Old Shinyanga ndani ya Manispaa ya Shinyanga ambapo zaidi ya vyandarua milioni moja na laki tano vitagawiwa kwa wananchi wa Halmashauri zote sita za Mkoa wa Shinyanga ili kujikinga na malaria.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga