- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga anawatangazia wananchi wote kuwa tarehe 08/03/2017 siku ya jumatano itakuwa ni kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Maadhimisho haya katika Halmashauri ya Manispaa yatafanyika katika kata ya Ibadakuli. Maadhimisho yataanza kwa maandamano yatakayoanza saa 3:00 asubuhi kutoka eneo la shule sekondari Rajani kuelekea shule ya msingi Ibadakuli. Wananchi wote wa Manispaa mnakaribishwa kushiriki katika kuadhimisha siku hii muhimu duniani.
Ujumbe wa mwaka huu unasema;
“TANZANIA YA VIWANDA: WANAWAKE NI MSINGI WA MABADILIKO YA KIUCHUMI”
Wote mnakaribishwa
Mwanamsiu Dossi
KAIMU MKURUGENZI WA MANISPAA.
SHINYANGA
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga