- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Ndg. Said kitinga ameongoza dua Maalumu ya Kuliombea Taifa na viongozi wake ikiwa ni kuelekea katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 22 Aprili, 2024 katika ukumbi wa Lewis Kalinjuna Manispaa ya Shinyanga
Kauli Mbiu
“Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tumeshikamana na Tumeimarika kwa Maendeleo ya Taifa Letu .”
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga