- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga anawatangazia wananchi wote kufanya usafi wa mazingira katika nyumba zetu , meaeneo yetu ya kazi na maeneo yote yanayotuzunguka kila Juma mosi ya mwisho wa Mwezi.Ukaguzi utakuwa unafanyika na kwa yule atakaenda kinyume na tangazo hili hatua za kisheria zitachuliwa pamoja na kulipishwa faini ya Tsh 50,000/=.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga