- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Mkurugenzi wa manispaa anawatangazia wananchi wote wa Mkoa wa Shinyanga na Mikoa mingine kwamba anafanya biashara ya tofali zenye viwango vinavyokubalika kitaifa na kimataifa mnakaribishwa wote mradi huu unafanyika kwenye ofisi ya Mtendaji kata ya Ngokolo .
Gharama kwa Wananchi
Tofali 1 = 1200 hadi kufikisha kwenye eneo la ujenzi.
Gharama kwa Taasisi za Serikali
Tofali 1 = 1600 hadi kufikisha kwenye eneo la ujenzi
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.