- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Watumishi wa Manispaa ya Shinyanga Wakipatiwa Mafunzo ya namna ya kutumia Mfumo wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma PSSSF PORTAL kwa ajili ya kurahisisha huduma kwa Wanachama wake kwa Kuangalia Taarifa za kiuanachama , Michango na kuanzisha madai kwa njia ya kieletroniki kupitia simu janja au Kompyuta kwa wakati wowote na mahali popote bila kufika katika Ofisi zao kwa ajili ya kupata huduma.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.