- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Kuelekea zoezi la Uboreshaji wa daftari la Kudumu la Wapiga kura Jimbo la Shinyanga Mjini limeandaa watumishi 394 kikamilifu watakao Kwenda kusimamia zoezi hilo baada ya kupewa mafunzo kwa siku mbili yaliyoanza tarehe 18 Agosti na kumalizika leo 19 Agosti, 2024 katika ukumbi wa chuo cha ualimu Shycom.
Ambapo Jimbo la Shinyanga Mjini linajumla ya kata 17 na vituo 163 vya uboreshaji wa daftari la Kudumu la Wapiga kura.
Zoezi la Uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga kura linatarijia kuanza tarehe 21 -27 Agosti, 2024.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.