- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
fisa Elimu Awali na Msingi Manispaa ya Shinyanga, Mwl. Mary Maka akipokea madawati 50 kwa Shule ya Msingi Bugoyi A yaliyotolewa na VodaCom Foundation kupitia program ya WAENDESHA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA.
Aidha, Mwl. Maka alipokea dawati moja lililotolewa na mzazi, mkazi wa Kata ya Ndembezi.
Hafla hiyo imefanyika leo, Oktoba 8, 2023 katika Shule ya Msingi Bugoyi A.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.