• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

WACHUKULIENI HATUA WAKANDARASI AMBAO HAWATAKAMILISHA MIRADI NDANI YA MUDA”- MHE. MWEBEA.

Posted on: January 24th, 2025

Kamati ya fedha na utawala Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga leo Januari 24, 2025 imefanya ziara ya Kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Manispaa hii kwa kipindi Cha robo ya pili ya mwaka wa fedha Oktoba hadi Disemba 2024/2025.


Akizungumza kwenye hii Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mhe. Zamda Mwebea amewataka wahandisi wa manispaa ya shinyanga kuwachukulia hatua ikiwa ni pamoja na kuwasitishia mikataba wakandarasi wote ambao hawatokamilisha miradi ya maendeleo ndani ya muda uliopangwa.


Mhe. Mwebea ametoa maelekezo haya wakati akiwa kwenye ziara ya kamati ya fedha na utawala ya Manispaa ya Shinyanga iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya manispaa kwa kipindi cha robo ya pili (Oktoba hadi Disemba) kwa mwaka wa fedha (2024/2025) iliyofanyika leo januari 24,2025

na kuwataka wakandarasi wote Kuhakikisha miradi inakamilika ndani ya muda walio omba wa ziada ili huduma ziweze kutolewa kama ilivyo pangwa kwenye miradi hiyo.


“Wakandarasi wote mlioomba muda wa ziada hakikisheni mnakamilisha ndani ya muda , hapa nyuma mliomba kuongezewa muda kwa sababu hali ya hewa hususani Mvua kwa kipindi hicho ilikua nyingi pamoja na changamoto ya upatikanaji wa vifaa vya ujenzi, niwatake basi wahandisi wa manispaa wasimamieni wakandarasi hawa wajenge kwa wakati huku mkizingatia ubora wa miradi kama ilivyopangwa na serikali, hatutakubali tena mkandarasi baada ya muda huo kuomba muda tena wa ziada kwa kipindi cha pili zaidi ya kuwachukulia hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kuvunja mikataba yao”. Amesema Mhe. Mwebea.


Kamati ya Fedha na utawala imetembelea na kukagua jumla ya miradi sita ikiwemo Ujenzi wa jengo la utawala la Manispaa ya Shinyanga, ujenzi wa Mabweni manne na matundu ya vyoo 12 katika shule ya Sekondari Rajani kata ya Ibadakuli, ujenzi wa nyumba ya walimu Shule ya Sekondari Butengwa kata ya Ndembezi, ujenzi wa madarasa matatu na matundu ya vyoo shule ya msingi ndala “B” kata ya Ndala pamoja na ujenzi wa Shule mpya ya sekondari iliyopo kata ya Kizumbi.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.