• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHAJI VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUSHIRIKIANA KIKAMILIFU NA MAAFISA WAANDIKISHAJI NGAZI YA KATA.

Posted on: August 18th, 2024

Afisa Mwandikishaji msaidizi jimbo la Uchaguzi Shinyanga Mjini Bw.Charles Kafutila amewataka waandishi wasaidizi na maendeshaji vifaa vya Bayometriki kushirikiana kikamilifu na maafisa waandikishaji wasaidizi kwa lengo la kufanya kazi kwa ufanisi Mzuri kuelekea kwenye uandikishaji na uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura.


Kafutila ameyasema haya leo Agosti 18,2024 wakati akifungua mafunzo kwa waandishi wasaidizi na waendeshaji vifaa vya Bayometriki jimbo la shinyanga Mjini, mafunzo yatakayofanika kwa siku mbili katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha Uwalimu Shinyanga SHYCOM.


“Niwasihi muwe na Ushirikiano wa karibu na Maafisa waandikishaji ngazi ya kata, pale mnapopata changamoto yoyote wasiliana na maafisa waandikishaji waliopo kwenye kata zetu ili tuweze kufanya kazi hii kwa ufanisi zaidi amesema” Bw. Kafutila


Zoezi hili limeenda sambamba na viapo viwili kiapo cha kutotoa siri Pamoja na kiapo cha kujitoa katika chama chochote cha siasa wakati wa mkataba kwa waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki.


Mafunzo haya yamejumuisha wataalamu kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Maafisa uchaguzi ngazi ya Mkoa, Pamoja na Halmashauri ambao walikuwa wakitoa mafunzo kwa waandishi wasaidizi na waendeshaji vifaa vya Bayometriki ambao watakwenda kusimamia na kuendesha zoezi la uandikishaji na uboreshajui wa daftari la kudumu la wapiga kura ambapo kwa jimbo la Shinyanga Mjini zoezi hilo litaanza kutekelezwa  tarehe 21 hadi 27, Agosti 2024.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.