• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

VIONG0ZI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR-ES-SALAAM WAWASILI HALMSHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA

Posted on: July 18th, 2023

VIONGOZI WA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR-ES-SALAAM WAWASILI  HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA.

Na. SHINYANGA MC

Kamati ya Fedha na Utawala, Wakuu wa Divisheni na Vitengo Halmashauri ya Jiji la Dar-es-salaam wamefika katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga wakiongozwa  na Mhe. Omar Kumbilamoto Mstahiki Meya Halmashauri ya Jiji la Dar-es-salaam kwa lengo la kujifunza namna ya utekelezaji wa miradi ya Maendeleo na Upendezeshaji Mji.

Wakiwa Manispaa ya Shinyanga Viongozi hao waliweza kupata muda wa kujifunza mambo mbalimbali kwa njia ya mawasilisho na vitendo namna ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kutumia fedha za Mapato, Wahisani na Serikali kuu.

Akitoa salama za Halmashauri ya Jiji la Dar-es-salaam Mhe. Omar Kumbilamoto wamekuja Shinyanga kwa lengo la kujifunza namna ya utekelezaji  wa miradi, kuimarisha uhusiano na kufahamiana.

‘’Tumekuja hapa kwa lengo la kujifunza namna bora ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kubadilishana uzoefu wa mambo mbalimali’’ alisema Mhe. Kumbilamoto

Pamoja na mambo mengine Viongozi hao waliweza kufanya ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ya miradi ya maendeleo kama Soko kuu la Ibinzamata,Soko kuu,Ngokolo Mitumbani, Machinjio ya Kisasa NdembezKituo cha afya kamabarage kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya wazazi, wagonjwa wa nje [OPD], Jengo la mionzi na shule ya msingi Jomu madarasa matano.

Pia walipata wasaa wa kutembelea maeneo yaliyopendezeshwa [Beutification kama maporomoko ya maji maeneo ya mto kidalu/relini, Round About ya police, karogo, eneo la mapumziko NBC na Sanamu yenye kuonesha asili ya watu wa Mkoa wa Shinyanga na shughuli zinazofanya  na wakazi wa mkoa huu maeneo ya relini/tandale.

Aidha, kwa upande wa Manispaa ya Shinyanga timu iliongozwa na Mstahiki Meya Mhe. Elias Masumbuuko pamoja na Wakuu wa Divisheni na Vitengo na Watendaji wa kata iliwashukuru kwa kuichagua Manispaa ya Shinyanga kama sehemu yao ya kujifunzia na kwamba uongozi wa Manispaa pamoja na mambo mengine umewakaribisha wakati mwengine na kuwaalika Halmashauri nyengine kuja kujifunza mambo mengine mazuri.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.