• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

UZINDUZI WA MTARO WA MAJI WA KM5.22 KATIKA MTAA WA AZIMIO KATA YA LUBAGA

Posted on: July 20th, 2019

Wananchi wa mtaa wa azimio katika hali isiyokuwa ya kawaida wameshindwa kuvumilia kusubiri bajeti ya Serikali katika kuwatimizia kilio chao cha siku nyingi cha uhaba wa maji hatimaye wameamua kuungana pamoja kwa uzalendo wao wakishirikiana na ofisi ya mtendaji wa kata ya Lubaga Pamoja na Walezi wa kata ndg. Lenard Chepe na Boniphace Marago kujitolea kuchimba mtaro wa bomba la maji upatao km 5.22 ili waondokane na adha ya maji waliyokuwa nayo zaidi ya miaka 40.

  Uongozi wa Chama wilaya ya shinyanga -manispaa wakiongozwa na mheshimiwa mwenyekiti wa CCM. Abubakari GulamHafeez Mukadam Wakishirikiana katika zoezi hilo kwa kutoa hamasa kwa wananchi na kuunga mkono juhudi zao na kushiriki katika uchimbaji wa mtaro pamoja na kuwafuta jasho kwa kiasi cha sh 3,000,000/= (milioni tatu) kutoka ofisi ya mkurugenzi wa manispaa hali kadhalika ofisi ya mstahiki Meya iliahidi kuwafuta kwa kiasi cha sh.1,500,000/=(Milioni moja na laki tano). pia uongozi wa CCM kata ya Ndembezi iliahidi kutoa sh.100,000/= (laki moja) Ambapo sh 50,000/= (elfu hamsini) ilitangulizwa papo hapo.

  Aidha Mtendaji wa kata ya Lubaga Ndg Lucas Venance Nkelege Aliwashukuru wananchi na wadau walioshiriki katika zoezi hilo na kuomba wadau wazidi kujitokeza kuonyesha uzalendo na kuunga mkono juhudi za Wananchi wa Azimio,pia alimuomba Mwenyeketi (Mgeni rasmi) Pamoja na Mstahiki Meya kufanya harambee ndani ya Manispaa ikihusisha Chama cha Mapinduzi (CCM) ,ofisi ya Mkurugenzi na wadau wengine ili kiasi kitakacho patikana kiweze kutatua au kupunguza tatizo la maji ndani ya manispaa nzima ya Shinyanga na sio ndani ya lubaga tu.

  Harambee hiyo inatarajiwa kukusanya zaidi ya shilingi Milioni mia moja (100,000,000/=)

  Ofisi ya Afisa Mtendaji kati ya Lubaga inasema ‘’Shinyanga Manispaa tunaweza Maji ni haki ya kila mtu na Hatungoji bajeti ya serikali,tunatimiza sasa kuunga juhudi ya Serikali ya awamu ya tano ikiongozwa na Raisi wa Tanzania Mh. John Pombe Joseph Magufuli’’ 

  Kwa pamoja tuunge mkono harambee hii kubwa ya kihistoria ya maji katika Manispaa yetu ya Shinyanga.


MATUKIO KATIKA PICHA:



Wazee wawili wa mtaa wa Azimio walioleta hamasa ya uzalendo katika kujiletea maendeleo yao wenyewe


 

Mtendaji wa Kata ya Lubaga ambae amekuwa chachu kubwa katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo

akitoa maelezo ya uchimbaji wa mtaro wa kupitishia bomba la maji katika mtaa wa Azimio


Wananchi wa Mtaa wa Azimio wakimsikiliza kwa Makini Mgeni Rasmi




Diwani wa kata ya Lubaga viti Maalum akieleza machache kuhusu mradi wa kuleta maji katika mtaa wa Azimio


Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga akiunga mkono juhudi za wananchi kwa kuahidi kutoa sh.1,500,000/=



Mwenyekiti wa CCM Kata ya Ndembezi akiahidi kuunga mkono juhudi za wananchi kwa kutoa sh.100,000/=

Mgeni Rasmi akihutubia wananchi wa Mtaa wa Azimio


Mgeni rasmi akizindua Mtaro wa bomba la maji katika Mtaa wa Azimio

Mgeni rasmi akimtua ndoo mama ishara ya kuleta ufumbuzi wa maji katika Mtaa wa Azimio

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.