• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

Uhakiki wa Watumishi wa Umma kwa kutumia taarifa za NIDA

Posted on: June 13th, 2017

Mafunzo kwa Maofisa Utumishi wa Sektretarieti ya Mkoa wa Shinyanga na Mamlaka zake sita za Serikali za Mitaa  kuhusu uhakiki wa watumishi kwa kutumia taarifa za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) yamefanyika tarehe 13 Juni 2017 katika Ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga. Jumla ya Maofisa Utumishi 13 kutoka katika Mkoa na Halmashauri sita za Mkoa wa Shinyanga wamepata mafunzo ya kuhakiki watumishi kwa kutumia fomu na ripoti za NIDA zilizojengwa kwenye mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS). Halmashauri zilizoteua Maofisa utumishi kuhudhuria mafunzo ya uhakiki kwa muda siku moja ni Halmashauri ya Wilaya Shinyanga, Manispaa ya Shinyanga, Kishapu, Msalala, Ushetu na Kahama Mji.

Ndugu Lenard Tumua-Ofisa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma akitoa mafunzo kwa Maofisa Utumishi

Baada ya Mafunzo hayo ambayo yamehusisha Ofisa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ndugu Lenard Tumua, zoezi la uhakiki wa watumishi limeanza mara moja kuanzia tarehe 14 Juni 2017 kwenye Halmashauri zote za mkoa wa Shinyanga ikiwemo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na linasimamiwa na kutekelezwa na Maofisa Utumishi waliopata mafunzo. Aidha kila mtumishi anatakiwa kuwa na kitambulisho cha kazi chenye picha ya mtumishi, hati ya malipo ya mshahara na kitambulisho cha taifa ili aweze kuhakikiwa. 

"Watumishi wote wa serikali ambao vituo vyao vya kazi vipo nje ya makao makuu ya taasisi zao kama vile polisi na magereza, watahakikiwa katika wilaya wanazofanyia kazi chini ya usimamizi wa Wakurugenzi wa Halmashauri ambako zoezi la uhakiki unafanyika". Alisema Ndugu Lenard Tumua wakati wa mafunzo kwa maofisa Utumishi.

Taasisi zinazohusika na zoezi la uhakiki wa watumishi ni zile ambazo watumishi wake wanalipwa mishahara kupitia mfumo wa taarifa za Kiutumishi na Mishahara.

Maofisa Utumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kutoka katika Halmashauri za Mkoa wa Shinyanga baada ya mafunzo



Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.