- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Mafunzo Kwa Maafisa Waandikishaji wa CHF (EOs) yamefunguliwa leo na Mgeni Rasmi Ndugu John Tesha Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, Watoto na Watu wenye Ulemavu.
Amewasisitiza Maafisa Waandikishaji wapya wajitahidi kuhamasisha na kuandikisha ili kuongeza asilimia ,kwani kwa sasa ni asilimia 11% tu ya walioandikishwa hivyo juhudi kubwa inahitajika kuwa Zaidi ya hapo
Aidha Mganga Mkuu wa Manispaa ya Shinyanga amesema kuwa wanategemea sana wateja wa CHF kuongeza mapato ya Kituo,hivyo amewaasa kuongeza uandikishaji ili vituo vipate mapato.
MATUKIO KATIKA PICHA
Mgeni Rasmi Akifungua Mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji wapya wa CHF
Washiriki wakiwa makini kusikiliza
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.