- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Shirikisho la Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekabidhi mipira 150 katika Manispaa ya Shinyanga kwa lengo la kuibua vipaji kwa wanafunzi Mashuleni, ambapo makabidhiano hayo yalifanyika jana tarehe 28 Februari, 2024 katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Aidha, Mhe. Christina Mndeme Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga aliwakabidhi Maafisa michezo wa Halmshauri za Mkoa.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.