• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

TANROADS YAFANYA MALIPO YA MAPUNJO YA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE MANISPAA YA SHINYANGA.

Posted on: April 30th, 2024

TANROADS YAFANYA MALIPO YA MAPUNJO YA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE MANISPAA YA SHINYANGA


Na. Shinyanga Mc


MENEJA TANROADS Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Joel Mwambungu ameongoza timu ya wataalam kufanya malipo ya mapunjo wa fidia kwa wananchi wa eneo la Ibadakuli waliopisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga huku akiwaomba kuendelea kuwa wazalendo wa kulinda mali na uwanja huu wa ndege ambao kimsingi ni mali yao.


Malipo haya kwa wananchi yaliyofanyika kwa njia ya Hundi yamefanyika katika Ofisi ya Kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga huku yakishuhudiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Eng. Eugene Soka aliyemuwakilisha Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Prof. Siza Tumbo, Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Shinyanga Ndg. Leo Komber, Serikali ya Tarafa, Kata na Mtaa huku wananchi wakionesha furaha zaidi kuwa na hatma ya jambo lilichukua muda kiasi katika umaliziaji jambo ambalo leo limefikia mwisho.


“Ndugu zangu wananchi wa Ibadakuli, kwa dhati kabisa na kwa niaba ya Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Mohamed Besta ninamshukuru sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha malipo haya ya mapunjo ya fidia kwenu ili kupisha ujenzi wa uwanja wa ndege Shinyanga ambao kimsingi ni maendeleo na mali yenu wananchi,” amesema Mha. Joel.


“Pamoja na shukrani kwenu kwa uvumilivu wenu mkubwa wakati mkisubiria malipo haya ya mapunjo, niwaombe muendelee kuwa walinzi wa miundombinu yote ya uwanja huu wa ndege na mali zote kwakuwa vyote hivi ni mali yenu hivyo ni wajibu wetu sote kuwa sehemu ya umiliki na ulinzi,” amesisitiza Mha. Joel.


Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Ibadakuli Mhe. Msabila Malale amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha kufikia mwisho wa kero kubwa ya wananchi wa Ibadakuli huku akiwapongeza TANROADS Mkoa wa Shinyanga kwa utekelezaji wa tukio hili kwa wananchi wake huku akiwasihi kwenda kutumia fedha hizo katika kujiletea maendeleo yao.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.