• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

TAKUKURU MKOA WA SHINYANGA YATAMBULISHA RASMI PROGRAMU MPYA YA TAKUKURU RAFIKI

Posted on: February 14th, 2023

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Shinyanga wametambulisha rasmi Programu ya TAKUKURU Rafiki ambayo inatajwa kuwa na mageuzi makubwa kwa wananchi na wadau ambao wataweza kishiriki katika kukabili tatizo la rushwa kwenye utoaji wa huduma kwa jamii na utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Akiwaeleza wajumbe waliohudhuria utambulisho huo, Mkuu wa Dawati la Uelimishaji kwa Umma TAKUKURU Mkoa wa Shinyanga Bi. Helga Mfuruki alisema kuwa katika utekelezaji wa  programu hiyo ambayo inaakisi maana halisi ya nejo "rafiki" ambapo itabeba dhana ya kuwa na karibu kwa ushirikiano na wananchi pamoja na wadau mbalimbali kwa kutumia vikao ambavyo vitaitishwa nankuendeshwa katika ngazi ya Kata zote.

Helga alifafanua zaidi kuwa, mikutano ya hadhara itakuwa moja kati ya njia bora kabisa ya kuisogelea jamii na kuishirikisha katika kuzitambua na kuziibua kero ambazo zipo kwenye utoaji au upokeaji wa huduma kama vile Afya, Elimu ikiwa ni pamoja na namna mchakato wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta ya ujenzi wa miundombinu au maji.

"Aidha utambuzi wa kero hizo ni muhimu sana kwani zikiachwa pasipo kutatuliwa au kupatiwa ufumbuzi zinaweza kupelekea kutokea kwa vitendo vya rushwa jambo ambalo Takukuru isingependa kuendelea kutokea hasa katika utoaji wa huduma za ya elimu, afya, nk", alisisitiza Helga.

Kwa upande wake Mkuu wa Dawati la Uzuiaji Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Shinyanga Ndg. Reuben Chongolo alisema kuwa katika vikao hivyo ambavyo vitahudhuriwa na wananchi, viongozi wa kisiasa, watendaji wa serikali na wazabuni mbalimbali watashirikiana kwa pamoja katika kuzitatua kero hizo au kuweka mipango mikakati ya utatuzi wake kwa kushirikiana na TAKUKURU wenyewe.

Kufanikiwa vema kwa programu hiyo kutakuwa na faida zaidi katika kukuza ustawi wa Utawala Bora, kutaweza kuzuia vitendo vya rushwa visitokee kabisa kwenye utoaji wa huduma kwa umma na katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Aidha faida nyinginezo ni pamoja na kuokoa fedha za umma ambazo zitaweza kutumika katika kujengwa kwa miradi bora zaidi, endelevu na yenye kukidhi thamani ya fedha iliyotumika.

"Mwisho kabisa TAKUKURU inapenda kutoa wito kwenu viongozi, watumishi na wananchi wote kwa ujumla kuwa sasa imekuja karibu zaidi nanyi katika sura ya rafiki zaidi  ili tushirikiane kuzuia vitendo vya rushwa visitokee katika utoaji wa huduma kwa umma na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kupitia programu hii ya TAKUKURU Rafiki", alisema Chongolo.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.