• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

SNATUS AFUNGA MAFUNZO YA MFUMO WA FFARS KWA WATENDAJI MANISPAA YA SHINYANGA

Posted on: September 23rd, 2023

SNATUS AFUNGA MAFUNZO YA MFUMO WA FFARS KWA WATENDAJI MANISPAA YA SHINYANGA


Na. Shinyanga Mc


Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Ndg. Kuchibanda Snatus leo tarehe 23 Septemba, 2023 amefunga Mafunzo ya Mfumo wa FFARS kwa Watendaji yaliyoanza jana tarehe 22 Septemba, 2023 na kumaliza leo katika ukumbi wa Lewis Kalinjuna uliopo katika ofisi za Manispaa ya Shinyanga.


Akizungumza katika kufunga mafunzo haya Ndg. Snatus amewataka watendaji kwenda kutumia Mfumo wa FFARS ili kuimarisha usimamizi mzuri wa fedha za Umma, kuunganisha taarifa za fedha za Serikali ( Final Accounts) pamoja kupata taarifa mbalimbali za fedha zenye usahihi.


Aidha, Ndg. Snatus amewasisitiza Watendaji kwenda kuzingatia Sheria na Kanuni za Fedha za Umma na kufuata Sheria ya Manunuzi ya Umma wakati wanapofanya malipo ili kujiepusha na hoja za ukaguzi na wakati mwengine kuepuka kuingia kwenye migogoro ya kiutumishi.


Pamoja na mambo mengine, Ndg. Snatus amewataka Watendaji kwenda kusimamia vizuri miradi ya maendeleo, kutatua kero za Wananchi, kusimamia Watumishi walioko chini yao kwa kudhibiti utoro na utovu wa nidhamu, kudhibiti utoro kwa wanafunzi, kutokomeza mimba kwa wanafunzi, kusimamia usafi wa mazingira na kudhibiti kuzagaa kwa mifugo pamoja na kusimamia uhamasishaji wa utoaji wa chakula cha mchana kwa wanafunzi.


Mfumo wa FFARS kwa watendaji wa Kata,Mitaa pamoja na Vijiji unaenda kuwarahisishia kufanya kazi kwa urahisi katika kupokea fedha , kuandaa taarifa za fedha, kufanya malipo mbalimbali wanapofanya miradi ya maendeleo.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.