• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

RC MNDEME APOKEWA RASMI OFISI ZA MKOA WA SHINYANGA, ATOA AGIZO LA WATOTO KURIPOTI SHULE

Posted on: March 1st, 2023

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mh. Christina Solomon Mndeme, leo Machi 1, 2023 amepokewa rasmi katika Ofisi za Mkoa wa Shinyanga baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Februari 26, 2023.

Akitoa salamu za Serikali baada ya mapokezi mazuri, Mh. Mndeme aliwaomba wapokee salamu za upendo wa dhati kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kisha akawaomba ushirikiano ambao utapelekea uwajibikaji maridadi katika kazi huku akisisitiza mahusiano mazuri kazini kwa lengo la kustawisha maendeleo kwenye kazi na kuimarisha Utawala Bora kwa watumishi wa ngazi zote katika Mkoa.

“Naomba tupeane ushirikiano mzuri katika kazi, nipo tayari kushirikiana nanyi wakati wote, nami naombeni ushirikiano wenu kwa pamoja ulio na lengo la kujenga na pia niseme tuu kuwa Ofisi yangu ipo wazi wakati wote karibuni njooni tushauriane kwa lengo kuboresha na kutoa huduma iliyo bora kwa wananchi wetu," akisisitiza Mhe. Mndeme.

“Sisi ni kitu kimoja, tukuze mahusiano kazini maana hili ni jambo la muhimu sana, tuyaongeze mahusiano. Nikisikia mahali fulani hakuna mahusiano mazuri lazima nimuite mhusika na kumueleza. Tuendelee kuyadumisha mahusiano mazuri katika kazi ili tusije kuanza kunyosheana vidole.” amesema Mh. Mndeme.

Aidha, mbali na kuboresha mahusiano, Mh. Mndeme amewataka watendaji wote kuhakikisha jitihada za watoto kuripoti shuleni zinafanyika, akiamini kuna baadhi ya ambao hawajaripoti mpaka sasa.

“Naona kuna changamoto ya watoto kutoripoti shule, twendeni tukawatafute ili wapate elimu ambayo ni haki yao ya msingi, tukawatafute popote walipo kila Halmashauri ikawatafute watoto wote walipo ili wakaripoti mashuleni, ni lazima wakasome, penye changamoto tutasaidiana sababu mimi ni Mwalimu Mkuu wa Mkoa kwa sasa," amesema Mh. Mndeme.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga amepokelewa na Katibu Tawala Mkoa Prof. Siza Tumbo, Kamati ya Usalama Mkoa, Wahe. Wakuu wa Wilaya za Shinyanga, Kishapu, Kahama, Makatatibu Tawala Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri za Manispaa na Wilaya, Wakuu wa Divisheni, Vitengo pamoja na watumishi wengine mbalimbali wa ndani ya Ofisi ya Mkoa wa Shinyanga.

Mhe. Mndeme amepokea Ofisi kutoka kwa mtangulizi wake Mhe. Sophia Mjema ambaye aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Sukuhu Hassan kuwa Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Januari 2023.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.