• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

RC MNDEME AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA LISHE NA WIKI YA UNYONYESHAJI SHINYANGA

Posted on: August 5th, 2023
  • RC MNDEME AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA LISHE MKOA WA SHINYANGA NA WIKI YA UNYONYESHAJI DUNIANI

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyaga Mhe. Christina Mndeme Leo 5 Agosti, 2023 ameongoza maadhimisho ya siku ya lishe Mkoa wa Shinyaga na wiki ya unyonyeshaji duniani, ambapo maadhimisho hayo yalihudhuriwa na viongozi mbalimbali, watumishi pamoja na wanachi katika ofisi ya mtendaji wa kata ya ndala.

    Mhe. Mndeme awataka wazazi kwa ujumla kuzingatia lishe bora kwa watoto wao na wamama Wanaonyonyesha kuzingatia kumpa mtoto maziwa ya mama kwa miezi sita ya awali bila kumpatia chakula mbadala labda iwe imeshauriwa na daktari kwa sababu za kiafya kama vile kupatiwa dawa.

    "Niwatake wazazi wote kwa ujumla kuzingatia ulaji ya lishe bora kwa watoto lakini pia kwa mama anayenyonyesha mtoto ampatie maziwa ya mama tu kwa miezi sita ya awali bila kumchanganyia kitu chochote labda iwe ni ushauri kutoka kwa daktari" alisema Mhe. Mndeme

    Aidha,Mhe. Mndeme pia ameiasa jamii kuwapunguzia wamama kazi nzito wakati wa ujauzito na kipindi cha kunyonyesha ili kumjengea mama na mtoto afya bora, pia amewataka wazazi wa kiume wanapopata rikizo ya uzazi kwa ajili ya mtoto basi watumie kumsaidi mama kumlea mtoto na sio kufanya mambo mengine ambayo hayana faida kwa mtoto aliyezaliwa .

    Sanjali na hilo, Maadhimisho hayo yaliambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo upimaji wa shindikizo la damu,upimaji wa uzito, upimaji wa urefu, elimu juu ya umuhimu wa maziwa ya mama kwa mtoto mchanga kwa miezi sita ya awali pamoja na namna ya kuandaa lishe bora kwa kuzingatia makundi 5 ya chakula.

    ifikambo 1 -7 Agosti ya kila mwaka dunia inaadhimisha wiki ya unyonyeshaji dunia, ambapo kwa mwaka huu wiki hii ya unyonyeshaji imeambatana na kauli mbiu isemayo
    "Saidia unyonyeshaji, wezesha wazazi kulea watoto na kufanya kazi zao za kila siku"

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.