• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

RC MNDEME AFUNGA KILELE CHA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA ZIWA MASHARIKI

Posted on: August 8th, 2023
  • RC MNDEME AFUNGA KILELE CHA MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA ZIWA MASHARIKI

    Na. Shinyanga Mc

    MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme leo tarehe 8 Agosti, 2023 amefunga kilele cha maonesho ya nane nane kanda ya ziwa mashariki ambapo kilele hicho kilihudhuriwa na viongozi wa dini na serikali, wadau mbalimbali pamoja na wananchi katika viwanja vya nyakabindi Mkoani Simiyu.

    Katika kufunga kilele hicho cha maonesho Mhe. Mndeme aliweza kukagua na kutembelea vipando na mabanda ya maonesho ikiwemo vipando na banda la Halmashauri ya Manispaaya Shinyanga ambapo mabanda yote yalikuwa yamejumuisha bidhaa mbalimbali kutoka kwa wakulima, wajasiriamali pamoja na bidhaa kutoka taasisi za umma na binafsi

    “Nimetembelea mabanda mbalimbali pamoja na vipando kutoka tasisi mbalimbali hakika nimejifunza na kujionea mambo mengi mazuri, niwashauri wananchi wote kwa ujumla mambo tuliyojifunza tukayafanyie kazi majumbani kwetu” alisema Mhe. Mndeme

    Pamoja na mambo mengi Mhe. Mndeme amesisitiza kuwa ili Taifa letu liweze kupiga hatua kiuchumi lazima tuanze kwa kuwabadilisha watu wetu ki-fikra hasa vijana na wanawake wafanye kazi kwa bidii na maarifa ili kukuza uchumi wao na kuchangia maendeleo ya taifa letu.

    Mhe. Mndeme pia amewahimiza sana wananchi kulima, kupanda na kutumia zaidi mchicha aina ya URUSI, mboga ambayo inatajwa kuwa na virutubisho vingi na bora zaidi kwa afya ya wananchi.

    Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane ya mwaka huu wa 2023 yamebeba Kauli Mbiu isemayo "Vijana na Wanawake ni Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula".

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.