• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

RC MACHA AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI SIKU YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN.

Posted on: January 27th, 2025

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha ameongoza zoezi la upandaji miti, zoezi lililoasisiwa na shirika la utangazaji Tanzania (TBC) ikiwa ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani zoezi ambalo hufanyika kila ifikapo januari 27 ya kila mwaka.


Zoezi hili kimkoa limefanyika leo Januari 27, 2024 katika shule ya Msingi mapinduzi “A” na “B” kata ya Ngokolo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.


Akizungumza katika zoezi hili la upandaji miti Mhe. Macha amewasihi wananchi wa mkoa wa Shinyanga kuyaenzi maono ya Mhe. Rais ya Kuhakikisha Tanzania inakuwa ya kijani ili kukabiriana na mabadiliko ya tabianchi.


“Zoezi hili ni kuunga mkono jitihada za dhati zinafanywa na Serikali katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, kimkoa zoezi hili la upandaji miti tumeona ni vyema tulifanye hapa Manispaa ya Shinyanga kwa sababu ni moja ya Manispaa inayofanya vizuri katika swala zima la utunzaji na usafi wa mazingira kitaifa na sisi kama mkoa tumeona ni vema kuendelea kuipendezesha halmashauri hii kupitia upandaji miti.” Amesema Mhe. Macha.


Kwa upande wake Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mhe, Elias Masumbuko amemhakikishia Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kuendelea kuitunza miti hii ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua kali kwa wale wote watakao kata miti pamoja na kuzuia mifugo katika maeneo yote ya mijini.


Naye kaimu mkuu wa kitengo cha maliasili na utunzaji wa mazingira halmashauri ya manispaa ya shinyanga Ndg, Ezira Manjerenga amesema jumla ya miti miatano imepandwa katika shule hizi mbili huku jumla ya miti elfu tano inagawiwa kwa wakazi wa manispaa hii ili kutekeleza adhima ya Serikali ya kupanda miti miliomi moja na laki tano kwa kila mwaka.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.