- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
HABARI PICHA Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akikabidhiwa Ofisi na Nyaraka mbalimbali za utendaji kazi leo tarehe 18 March, 2024 na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme ambaye ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.