• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

RC MACHA AIPONGEZA MANISPAA YA SHINYANGA KWA USHINDI WA KITAIFA KATIKA USAFI.

Posted on: May 16th, 2024

RC MACHA AIPONGEZA MANISPAA YA SHINYANGA KWA USHINDI WA KITAIFA KATIKA USAFI


Na. Shinyanga Mc


MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha ameipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa kuibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya Afya na Usafi wa Mazingira yaliyohusisha Manispaa 19 Nchini huku akiwataka watumishi kuongeza kasi ya kuchapa kazi katika sekta zote ili kuweza kuyaisha na kutafisiri maono ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwatumikia Watanzania na kuwaletea maendeleo.


Pongezi hizi zimetolewa leo tarehe 16 Mei, 2024 na RC Macha alipokutana na Watumishi wa Manispaa ya Shinyanga kwa lengo la kutambuana na kukumbusha wajibu na majukumu ya kila mtumishi katika eneo lake la kazi ambapo pamoja na maelekezo mengine lakini pia amewataka watumishi kupendana, kushirikiana, kuwa wazalendo na kuyokubali kugawanywa kwa namna yoyote.


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Julius Mtatiro amemshukuru sana RC Macha kwa pongezi hizo za ushindi, lakini pia amempongeza kwa kazi nzuri anazozifanya katika kuwatumikia Wanashinyanga huku akimuahidi kuwa yale yote aliyoelekeza wanakwenda kuyatekeleza kwa weledi mkubwa na kuleta tija zaidi kwa wananchi wa Manispaa ya Shinyanga

Katika mashindano hayo, Manispaa.ya Shinyanga imeshinda na kuwa ya kwanza Kitaifa kwa kupata asilimia 95 ya alama zote zilizowekwa na Wizara ya Afya ikifuatiwa na Manispaa ya Moshi ambayo imepata asilimia 87 wakati nafasi ya tatu imechukuliwa na Manispaa ya Iringa ambayo imepata asilimia 83.


RC Macha anaendelea na ziara zake katika Halmashauri zote 6 zinazounda Mkoa wa Shinyanga ambapo kesho ni zamu ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ambapo huko pamoja na mambo mengine atakagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na baadae atazungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara utakaofanyika Iselamagazi.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.