- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
HALMASHAURI ya Manispaa ya Shinyanga imeanza ujenzi wa Soko la Mitumba lililopo Ngokolo mjini Shinyanga, Ujenzi huu umetokana na fedha za mapato ya ndani ambazo Halmashauri imekuwa ikizikusanya.
Tazama baadhi ya picha za ujenzi wa soko hilo.
Picha na George Mganga, Shinyanga Manispaa.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.