• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

PAUL MAKONDA AZINDUA RASMI WIKI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 47 YA CCM HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA.

Posted on: January 28th, 2024

PAUL MAKONDA AZINDUA RASMI WIKI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 47 YA CCM HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA


Na. Shinyanga Mc


KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Ndugu Paul Makonda amezindua rasmi kitaifa wiki ya maadhimisho ya miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi akiwa katika viwanja vya Shule ya Msingi Town ambapo pia alikuwa akihitimisha ziara yake ya siku mbili ndani ya Mkoa wa Shinyanga.


Makonda amesema kuwa CCM inatimiza miaka 47 ya kuzaliwa kwake ambapo kuanzia tarehe 28 Januari, 2024 hadi tarehe 4 Februari, 2024 ndiyo mwisho wa wiki ya maadhimisho na tarehe 5 Februari, 2024 itakuwa kilele cha sherehe.


“Napenda kutumia fursa hii kutangaza rasmi kuwa leo hapa Manispaa ya Shinyanga Mkoa wa Shinyanga, nazindua rasmi Wiki ya Maadhimisho ya Miaka 47 ya CCM yenye Kauli Mbiu Shiriki Uchaguzi kwa Uadilifu na Kazi Iendelee”, alisema Makonda.


Kando na uzinduzi huu, Makonda pia amepata wasaa wa kuhutubia wananchi, kusikiliza na kutatua kero za wananchi ambapo pamoja na mambo mengine alisisitiza umuhimu wa watumishi wa umma kuwa waadilifu katika kuwahudumia wananchi ikiwa ni pamoja na kutumia vema lugha katika kuwajibu.


Aidha, Makonda amesema kuwa CCM haitambeba mtumishi yeyote mzembe, asiyekuwa muadilifu na asiekuwa na ambaye hatoi huduma bora kwa wananchi, CCM haitambeba mtumishi huyo, alisisitiza Makonda.


Mkutano huu uliofanyika viwanja vya Shule ya Msingi Town unahitimisha ziara ya siku mbili ya ndugu Makonda katika Mkoa wa shinyanga iliyoanza tarehe 27 hadi 28 Januari, 2024 ambapo alifika , kuhutubia, kusikiliza na kutatua kero katika Manispaa ya Kahama, Kata ya Segese iliyopo Halmashauri ya Msalala, Kata ya Kakola.


Na siku ya pili alianza na wananchi waliokuwepo Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kahama kisha akasimama Kata ya Kagongwa, Mwakata, Tinde na kisha hapa viwanja vya Shule ya Msingi Town Manispaa ya Shinyanga.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.