• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

NAIBU WAZIRI MHE. MWINJUMA AZINDUA MASHINDANO YA DKT. SAMIA/KATAMBI MANISPAA YA SHINYANGA.

Posted on: July 14th, 2024

NAIBU WAZIRI MHE. MWINJUMA AZINDUA MASHINDANO YA DKT. SAMIA/KATAMBI MANISPAA YA SHINYANGA.


Na. Shinyanga MC


Naibu waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma  tarehe 14 Julai, 2024 amezindua mashindano ya Dkt, Samia Katambi cup yanayohusisha michezo mbalimbali ikiwemo, Mpira wa miguu, kuimba, kukimbiza kuku, kula, kuvuta kamba, Ngoma za asili, pamoja na mashindano yenye lengo la kuibua vipaji, kuvikuza na kuviendeleza vipaji vilivyomo ndani ya Manispaa ya Shinyanga hususani kwa jimbo la Shinyanga Mjini, mashindano yaliyoandaliwa na Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi.


Akizungumza kwenye ufunguzi huo Naibu waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mwinjuma amewataka vijana kuchangamkia fursa hiyo ili kuibua vipaji vyao na kupata ujira kupitia mashindano hayo pamoja na kuboresha afya kupitia mazoezi.


“Niwatake vijana wote kwa ujumla mchangamkie hii fursa ya michezo mbalimbali ili muweze kuibua vipaji mlivyonavyo , kujipatia ajira na kuboresha afya ya mwili kupitia mazoezi” amesema  Mhe. Mwinjuma.


Naye Naibu waziri, ofisi ya waziri Mkuu, kazi, vijana, Ajira na wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Mhe. Patrobas Katambi alisema kutokana na mashindano hayo yatafungua fursa kwa vijana kupata ajira katika vilabu vikubwa ndani na nje ya nchi.


Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewataka wananchi kuachana na matumizi ya dawa za kulevya pamoja na matumizi ya ngono zembe ili kuzuia na kupunguza magonjwa yanayosababishwa na maambukizi na badala yake kupata muda zaidi kufanya mazoezi ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali.


Michezo hiyo inatarajia kuendelea kufanyika kwa muda wa mwezi mmoja ndani ya manispaa ya Shinyanga ambapo kwa mshindi wa mchezo wa miguu atapokea zawadi ta Tshs milioni sita, kombe, seti ya jezi, pamoja na Mpira, mshindi wa pili milioni tatu , seti ya jezi pamoja na mpira, huku mshindi wa tatu atapokea kitita cha milioni moja, seti ya jezi, pamoja na Mpira huku mfungaji bora wa mashindano hayo atapokea zawadi ya Tsh Elfu hamsini, na Kwa mchezo wa dansi (dancing) mshindi atapata milioni moja.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.