• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

MWL KAGUNZE AONESHA KUTORIDHISHWA NA KASI YA UJENZI SHULE YA SEKONDARI OLD SHINYANGA

Posted on: July 20th, 2023

MWL KAGUNZE AONESHA KUTORIDHISHWA NA KASI YA UJENZI SHULE YA SEKONDARI OLD SHINYANGA

Na. SHINYANGA MC

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mwl. Alexius Kagunze leo tarehe 20 Julai,2023 amefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo  hususani elimu akiwa ameongozana na wataalam kutoka Manispaa.

Kutokuridhishwa kwa Mwl Kagunze kumetokea wakati alipofanya ziara ya kukagua ujenzi na upanuzi wa miundombinu kwa kidato cha 5 unaoendelea katika shule ya Sekondari Old Shinyanga ambapo wanajenga Madarasa [11] Mabweni [4] na Matundu ya vyoo [16] ujenzi huo ambao unaonekana unakwenda kwa kasi ndogo jambo ambalo Mwl. Kagunze kutoridhishwa huku akiwataka mafundi kuongeza kasi kwa kuwa kilakiu kipo.

‘’Sijaridhishwa na kasi ya Ujenzi unaoendelea kwa kuwa kilakitu kipo sioni sababu ya kucheleweshwa ukamiishaji, niwatake muongeze kasi  na muda wa ziada wa kufanya kazi ili ujenzi uweze kukamilika kwa haraka’’ alisema Mwl. Kagunze

Sanjali na hilo, Mwl. Kagunze amezitaka kamati za shule kuendelea kutunza nyaraka za ujenzi vizuri,kufuata sheria,miongozo na taratibu za manunuzi bila kukosea Pamoja na kununua samani zenye kulingana  na thamani ya fedha iliyotolewa.

Kipekee Shukrani nyingi  kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha upatikanaji wa fedha na kuboresha sekta mbalimbali hususani elimu kwa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.