• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

MWL KAGUNZE AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAPOKEZI YA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO

Posted on: August 14th, 2023
  • MWL. KAGUNZA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAPOKEZI YA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO

    Na. Shinyanga Mc

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga leo tarehe 13 Agosti, 2023 amefanya ziara ya kukagua mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha tano 2023 akiwa ameongozana na wataalam kutoka Manispaa.

    Mwl. Kagunze amefanya ziara hiyo kwa kutembelea shule ya wasichana butengwa na shule ya sekondari Old Shinyanga ambapo kote alikuta wanafunzi wameshawasili na wengine wakiendelea kuwasilia.

    "Nimefanya ziara hii kwa madhumuni ya kukagua na kuona mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha tano mahudhurio sio mazuri sana lakini kwakuwa ndo wameanza jana kuwasili tunategemea mpaka wiki ijayo wanafunzi wote watakuwa wamefika” alisema Mwl. Kagunze

    Pamoka na mambo mengi Mwl. Kagunze pia alipata wasaa wa kukagua ujenzi wa miundombinu unaoendelea katika shule hizo na kuwataka mafundi waongeze kasi kukamilisha sehemu chache zilizobaki.

    Aidha, Mwl. Kagunze ametoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwezesha sekta zote hususani sekta ya elimu katika Manispaa ya Shinyanga.

    Tarehe 13 Agosti, 2023 ndio tarehe iyopangwa na serikali kwa wanafunzi wote wa kidato cha tano kuripoti katika shule walizopangiwa ambapo kwa Manispaa ya Shinyanga imepangiwa kuripoti wanafunzi wa kidato cha tano katika shule ya old shinyanga 430 na shule ya wasichana Shinyanga 94.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.