- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mwl.Alexius R. Kagunze leo tarehe 12/10/2024 ametembelea kwenye kituo cha Wazi cha kujiandikisha wapiga Kura Serikali za Mitaa 2024 kujionea hali na mwamkoa wa kujiadikisha kwa Wananchi pamoja na changamoto zinazowakabili maafisa waandikishaji Mtaa wa Lubaga Farm kata ya Lubaga Halmashauri ya manispaa ya Shinyanga
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.