- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Kaimu Afisa Elimu ya Awali na Msingi Ndg. Ally Liuye wa Manispaa ya Shinyanga akimkabidhi vifaa vya Tehama kupitia Mradi wa Boost Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwenge Mwl. Hassan Hemed wenye lengo la kurahisisha ufundishaji na ujifunzaji kwa njia ya Tehama.
Vifaa hivyo vya Tehama vimeweza kugawiwa pia katika Shule ya Msingi ya Oldshinyanga kupitia Mradi wa Boost na vituo vya Walimu wa Shule ya Msingi cha Nhelegani na Kambarage kupitia Mradi wa Literacy and Numeracy Education Support (LANES
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.