- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Mwl. Alexius Kagunze leo tarehe 30 Mei, 2024 amewapongeza mawakala wa usafi wa mazingira kwa kuwapa vyeti vya pongezi katika kuendelea kukusanya vizuri taka ngumu katika maeneo mbalimbali ya Manispaa na kuifanya Manispaa ya shinyanga kuendelea kuwa safi wakati wowote.
Ikumbukwe tarehe 9 Mei, 2024 Manispaa ya shinyanga ilitangazwa na Serikali kupitia Wizara ya Afya kuwa mshindi wa kwanza kitaifa katika Halmashauri za Manispaa katika mashindano ya afya na usafi wa mazingira ambao ni ushindi kwa mwaka wa pili mfulululizo yani 2022 na 2023.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.