- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Mwl. Alexius Kagunze akiongea namna ya utekelezaji wa miradi mbalimbali inavyoendelea kutekelezwa katika Baraza la Madiwani robo ya tatu kwa mwaka fedha 2023/2024 leo tarehe 30 Aprili, 2024 katika ukumbi wa lewis kalinjuna uliopo ofisi za Manispaa ya Shinyanga ambapo kwa siku ya leo ni kupokea taarifa mbalimbali kutoka Tasisi za Serikali pamoja na kamati za kudumu
Taarifa za kamati za kudumu zilizowasilishwa na kujadiliwa ni
1.Kamati ya kuthibiti ukimwi
2.Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
3.Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
4.Kamati ya Fedha na Utawala
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.