- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Mwl. Alexius Kagunze leo tarehe 18 Julai, 2024 amepongea cheti cha shukrani kwa kuichagua bank ya NMB kuwa mshiriki wake bora wa kifedha katika bank ya NMB Tawi la Manonga Manispaa ya Shinyanga.
Akikabidhi cheti hiki Meneja Huduma kwa Wateja Ndg. Emmanuel Makanga amesema wameamua kutoa cheti cha shukrani kwa Manispaa ya Shinyanga kwa kuichagua bank ya NMB kama mdau mkubwa na mshiriki bora wa kifedha katika bank yao.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga kwa niaba ya Menejimenti ya Manispaa ameishukuru bank ya NMB kwa kutambua ushiriki wao wa kuichagua na kuwaahidi kuwa wataendelea kushirikiana nao katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.