- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za wanyonge Tanzania (MKURABITA) umetajwa kuchochea ustawi wa Wananchi na kuendana na azma ya serikali ya awamu ya sita kwa kuwakwamua Wananchi.
Akipokea msaada wa vifaa vya Stationery ambavyo ni Kompyuta moja (Desktop), Printer moja, Scanner moja na UPS moja, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga aliwashukuru viongozi wa MKURABITA kwa namna wanavyojitoa kwa ajili ya jamii.
Aidha vifaa hivyo vimetolewa kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya kituo cha uwekezaji kilichopo nyuma ya jingo la CCM Wilaya.
Awali MKURABITA ulitoa Tsh. Milioni ishirini (20,000,000/=) kwa ajili ya kuongeza nguvu katika ujenzi wa ofisi za kituo cha uwekezaji.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.