- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mh. Sophia Mjema, atafanya uzinduzi wa upandaji miti Jumamosi ya Novemba 26, 2022 katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Butengwa iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Mjema ambaye ndiye mgeni rasmi wa tukio hilo, atafanya uzinduzi huo wenye lengo la kutoa hamasa ya upandaji miti katika maeneo yaliyo ndani ya mkoa kwa ujumla, ili kuweka mazingira yenye hali ya kuepukana na changamoto ya ukame.
Zoezi hilo la uzinduzi katika Shule ya Wasichana Butengwa inayotarajia kufunguliwa rasmi Januari, 2023, linatarajia kuanza majira ya saa 2 kamili asubuhi.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.