• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

Miradi ya Shilingi Bilioni 1.3 yapitiwa na Mwenge wa Uhuru mwaka 2019 Manispaa ya Shinyanga

Posted on: May 12th, 2019

Jumla ya Miradi nane (08) yenye thamani ya Tsh. 1,344,653,360 imepitiwa na Mwenge wa Uhuru Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga tarehe 11.05.2019. Miradi hii inajumuisha ya Halmashauri (Tsh.39,020,260), Serikali kuu (Tsh.310,472,100), Sekta Binafsi (Tsh.750,000,000) na mchango wa wadau (Tsh.245,161,000). Ukiwa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mwenge wa Uhuru umekimbizwa umbali wa kilometa 102.5, katika Kata ya Kizumbi (Miradi miwili), kata ya Masekelo (Mradi mmoja), kata ya Mwawaza (Mradi mmoja), kata ya Ibadakuli (Miradi miwili) na kata ya Mjini (Miradi miwili), kuzindua na kuona miradi mbali mbali.

Aidha miradi hiyo iliyozinduliwa na kuonwa na Mwenge ni:

  • Mradi wa Ufugaji wa Samaki na Hifadhi ya Mazingira (MWANANCHI FARM)
  • Mradi wa kituo cha Mafuta (GILITU PETROLEUM STATION)
  • Mradi wa maji katika mitaa ya Masekelo, Ndala na Kitongoji cha Ishoshandili
  • Mradi uboreshaji zahanati ya Mwawaza kwa kujenga jengo jipya la Maabara
  • Mradi wa ujenzi wa vyumba vitano (05) vya madarasa katika Shule ya Msingi Viwandani
  • Mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari Polisi
  • Mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Tarafa ya Ibadakuli
  • Mradi wa kikundi cha vijana wamiliki na waendeshaji wa Pikipiki

Miradi yote iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru ilikubalika kwa asilimia 100 na kufunguliwa.

Mwenge wa Uhuru umekabidhiwa leo tarehe 12.05.2019 katika wilaya ya Kishapu.


Tazama picha za matukio ya Mwenge hapa chini

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga akiwa na kamati yake ya Mwenge wakiusubiri Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Msalala

Mkuu wa Wilaya ya Kahama akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa wilaya ya Shinyanga katika Manispaa ya Shinyanga

Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga akiwa amebeba Mwenge wa Uhuru

Mchungaji akiwakabidhi wakimbiza Mwenge pamoja na watu wote mikononi mwa Mungu kwa sala fupi ili zoezi lifanyike kwa amani

Sheikh wa wilaya akiomba dua njema katika kuukaribisha Mwenge wa Uhuru

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akikagua mradi wa ufugaji wa samaki katika moja ya mabwawa katika mradi huo

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akipanda mti aina ya Royal Palm katika kuunga juhudi za uhifadhi wa mazingira

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akiweka jiwe la msingi katika mradi wa ufugaji wa samaki na uhifadhi wa mazingira ktk kata

ya Kizumbi kijiji cha Nhelegani

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akiwasikiliza kwa makini kikundi cha vijana kinachokemea rushwa ya ngono VETA Shinyanga

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akisikiliza ripoti kutoka kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Mafuta GILITU PETROLEUM STATION

Jiwe la msingi lililosimikwa na Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa ktk Kituo cha Mafuta GILITU PETROLEUM STATION

Mmoja wa watumbuizaji katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Manispaa ya Shinyanga

Afisa Elimu Msingi wa Manispaa ya Shinyanga akitoa ripoti ya Mradi wa Vyumba vitano vya madarasa katika s/m Viwandani

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akiweka jiwe la msingi katika S/m Viwandani baada ya kuridhishwa na mradi

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akikagua mradi wa Tarafa ya Ibadakuli

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akitoa sifa kemkem katika mradi wa Jengo la Tarafa ya Ibadakuli 

Mradi wa maji

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akiweka jiwe la msingi katika mradi wa maji

Mganga Mkuu wa Manispaa akitoa ripoti ya Mradi wa uboreshaji Zahanati ya Mwawaza kwa kujenga jengo jipya la maabara

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akikagua jengo la maabara katika Zahanati ya Mwawaza

Kamishna wa Polisi akitoa ripoti ya Mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari Polisi

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akifungua kwa kuweka jiwe la msingi Mradi wa Nyumba za Askari Polisi 

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akiwa na wanafunzi wa shule ya Sekondari Uhuru

Mradi wa pikipiki

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akionyeshwa document za pikipiki katika mradi wa kikundi cha vijana wamiliki na waendeshaji

wa pikipiki maarufu kama bodaboda

Kiongozi wa mbio za  Mwenge kitaifa akikagua mabanda yaliyokuwa na shughuli mbalimbali ktk uwanja wa Sabasaba 

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga (kushoto) akikaribishwa na mwenyeji wake Mkuu wa wilaya ya Kishapu alipokwenda kukabidhi Mwenge 

wa Uhuru baada ya zoezi la kukagua miradi katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kumalizika.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.