• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

MHE.UMMY AIPONGEZA MANISPAA YA SHINYANGA KWA UTEKELEZAJI WA MIRADI SEKTA YA AFYA.

Posted on: July 13th, 2023

Waziri wa afya Mhe. Ummy Mwalimu ameipongeza Manispaa ya Shinyanga katika utekelezaji wa miradi sekta ya afya hususani Hospitali ya Manispaa katika utoaji wa huduma kwa wananchi wote.

Pongezi hizo amezitoa leo tarehe 13 Julai, 2023 alipofanya ziara kwa lengo la kufuatilia utoaji wa huduma za kiafya , ujenzi wa miundominu , upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika Hospitali ya Manispaa.  Ikumbukwe kwamba Mhe. Ummy Mwalimu aliagiza Wakurugenzi wote kuajiri watumishi wa mkataba kupitia mapato ya ndani ili kupunguza uhaba wa watumishi katika kada ya afya ambapo katika Hospitali ya Manispaa tayari walishaanza kutekeleza agizo hilo na Zaidi ya milioni 70 zimeshakwisha  tengwa kwa ajili ya watumishi hao jambo ambalo Mhe. Ummy lilimfurahisha na kumpongeza Mkurugenzi na Manispaa kwa ujumla.

Aidha, kando na pongezi hizo Mhe. Ummy pia alifurahishwa na ujenzi wa jengo la dharula [EMD] Unaoendelea  katika Hospitali ya Manispaa na kuwataka wataalam wa afya kutoka mikoa iliyoko pembezoni waje kujifunza namna bora ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa majengo ya dharula.

Pamoja na mambo mengine  Mhe. Ummy alipongeza pia huduma nzuri zinazotolewa katika Hospitali hiyo  na kuwaomba watumishi wa Hospitali hiyo kuendelea kutoa huduma nzuri kwa wagonjwa kwa kuzingatia maadili ya kazi, miongozo,kanuni, taratibu za utoaji wa huduma za afya ,matumizi mazuri ya lugha kwa wagonjwa na kuwaomba waendelee kutoa huduma kwa upendo  na utu.

Ikumbukwe kuwa Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga awali ilitambulika kama Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinganga, lakini baada ya kujengwa Hospitali mpya ya mkoa Mwawaza, kwa sasa Hospitali hii ipo chini ya Manispaa ya Shinyanga  na inatambulika kama Hospitali ya Wilaya ya Shinyanga na imeanza kazi rasmi tarehe 01 Julai, 2023.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.